The Performer

The Performer
Arty

Audre Lorde

I write for those women who do not speak, for those who do not have a voice because they were so terrified, because we are taught to respect fear more than ourselves. We've been taught that silence would save us, but it won't.

 

Thursday, May 27, 2010

Njoo...

Songea karibu mpenzi
Niyaangalie macho yako
Yametametayo gizani
Yaliyojawa na mapenzi tele...

Niishike ngozi ya uso wako
Inayofanya moyo wako udunde
Kila mkono wangu ukiikaribia
Na kuzifanya sehemu zangu
Kububujika kwa furaha!

Nikupe busu lisilosahaulika
Kila unifikiriapo
Niliguze titi lako
Liletalo raha kamili
Na kuchangamsha roho kwa udhabiti...

Niyarudie maneno
"Nakupenda mpenzi"
Kumbusho muhimu kwako
Nakuhitaji sana maishani
Basi tuhifadhi penzi hili milele!

No comments:

Post a Comment