The Performer

The Performer
Arty

Audre Lorde

I write for those women who do not speak, for those who do not have a voice because they were so terrified, because we are taught to respect fear more than ourselves. We've been taught that silence would save us, but it won't.

 

Wednesday, May 26, 2010

Penzi la Roho.

Roho spesheli
Hutoka mwanzo
Kama mchoro wa msanii
Uliotengwa binafsi...

Roho
Iliyoumbwa kwa sababu muhimu
Kama kicheko cha mtoto mchanga
Ambacho hustahimili kwa muda...

Moyo wako
Kama katiba inayotumika
Unauliwaza moyo wangu
Hata ukiwa mbali nami...

No comments:

Post a Comment